Mo Bejaia yaifunga Yanga Goli 1-0

Mchezo wa kundi A wa kuwania kombe shirikisho Afrika baina ya Yanga na Mo Bejaia uliochezo huko Algeria ulimalizaka kwa timu ya Mo Bejaia
kuifunga Yanga Africans 1-0.Goli lililofungwa na Yasini dakika ya 20.
Katika mchezo huo, Mlinzi Haji mwinyi wa Yanga alipewa kadi nyekundu dakika nne kabla ya mechi kumalizika
Bejaia 1
Mabigwa hao wa Tanzania bara wanaojiita  wakimataifa pamoja na kupoteza mechi hiyo ya kwanza, wanalazimika kurudi katika kambi yao huko Ulaya kwa ajili ya maandalizi ya kukabiliana na TP Mazembe June 28 mchezo ambao utacheza nyumbani Dar es salaam katika uwanja wa taifa

Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top