Ufaransa watoshana nguvu na Uswisi

France's Paul Pogba attempts a shot at goal
 Ufaransa na Uswizi zafanikiwa kuingia kwa pamoja katika 16 bora ya Euro 2016 katika Kundi A kufuatia matokea yake ya Jana ambapo ya timu hizo zilitoshana
nguvu bila kufungana katika mechi iliyokuwa ya aina yake, Ikumbuke Ufaranza ni mwenyeji wa mashindano hayo
Paul Pogba goes over Breel Embolo in the first half in Lille
Paul Pogba akikabiliana vikali  Breel Embolo katika mechi hiyo
Hadi dakika za mwisho Ufaranza 0-0 Uswisi

Matokeo mengine katika Kundi A ambapo Romania ilikabilina na Albania, ambapo Romania ilifungwa na Albania 1-0, ambao wana pointi tatu hivyo kutofanikiwa kusonga mbele

Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top