VIDEO &Audio Live:Fuatilia mechi ya Yanga na Mo Bejaia moja kwa moja LIVE kupitia uchambuzi Leo


Sikiliza matangazo ya mechi ya Yanga na Mo Bejaia 
Live Audio kupitia EFM Bofya hapa

Dakika ya 20 Yassin anaipatia timu yake ya Mo Bejaia goli la kwanza



Dakika ya 29′ Mo Bejaia 1-0 Yanga

Goli la Mo Bejaia limefungwa na Yassin
Yanga wanacheza vizuri, tatizo yanga wanajilinda zaidi hawapeleki mashambulizi mbele. Mo Bejaj ni warefu hivyo wanatumia fursa hiyo kucheza mpira wa juu

Mpira ni mapumziko....Mo Bejaia 1-0 Yanga

kocha wa yanga anatakiwa awashauri na kuwapa morali wachezaji ili waweze kujiamini zaidi na kuongeza zaidi mashambulizi. safu ya ushambuliji bado haijatulia kidogo Msuva ndio anajitahidi wengine wanasuasua labda kama tulivyosema urefu wa timu pinzani inawezekana ikawa sababu, yote kwa yote mpira dakika tisini. Mashabiki wa Mo Bejaia wamejitokeza kwa wingi na wanaonekana kushangilia kwa nguvu muda wote.Ikumbukwe Mo Bejaia inashika nafasi ya pili katika ligi kuu ya Algeria. Mlinzi Haji mwinyi apewa kadi nyekundu bado dakika nne

Kipindi cha pili kimeanza tayari

mpira umeanza kwa kasi, umesimama kwa muda baada ya mashabiki kuleta vunjo. Dakika ya 69 Mo Bejaia 1-0 Yanga
Yanga wanakosa goli la wazi

Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top