Kujiondoa kwa Uingereza kutaathiri uchumi wa dunia

China imesema kuwa hatua ya Uingereza kuondoka kwa muungano wa ulaya italeta msukosuko wa siku nyingi katika uchumi wa
dunia.

Waziri wa fedha nchini China Lou Jiwei, alisema kuwa ni vigumu kutabiri matokeo lakini yanaweza kuonekana hata ndani ya kipindi cha miaka kumi.

Licha ya hilo bwana Lou, alisema kuwa masoko yameathirika kutokana na kujiondoa kwa Uingereza.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top