TANZIA: ALIYEKUWA MBUNGE WA CHADEMA BIHARAMULO AFARIKI DUNIA


TANZIA: Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Biharamulo Magharibi kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amefariki usiku wa
kumkia leo.

Dk. Anthony Gervase Mbassa (CHADEMA) amefariki usiku wa kuamkia leo Jumapili Juni 26, 2016.

Endelea kuwa nasi tutakujuza chanzo cha kifo chake na taratibu nyingine.
Video: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa Mikoa bofya hapa News alert:Maombi Ya Mikopo Ya Wanafunzi Wa Elimu Ya Juu 2016/2017Bofya hapa



Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top