Inter Milan katika mipango ya kumsajili Yaya Toure


Inter Milan wana mipango ya kumsajili nyota wa Machester City Yaya Toure.

Raia huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 33, ana mwaka mmoja wa kuichezea Man City kabla ya kukamilisha mkataba wake.

Yaya Toure aliuzwa kwa Man City ambayo ilikuwa chini ya meneja wa sasa wa Inter Milan Roberto Mancini kwa kima cha dola milioni 24 na Pep Guardiola mwaka 2010 kutoka klabu ya Barcelona.

Hata hivyo taarifa zinasema kuwa huenda makubaliano yakaafikiwa au yakose kuafikiwa.
 

Breaking News: Wabunge wa Upinzani Waziba Midomo yao Kwa Karatasi na Plasta na Kisha Kutoka Nje ya ukumbi wa bunge bofya hapa

 Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top