SIMU.TV: Mhe.Suleiman Jafo atoa kauli ya serikali juu ya ombi la halmashauri ya<endelea bofya kichwa cha habari hii>
Rungwe la kuongezewa bajeti ya ujenzi wa barabara. https://youtu.be/hXP6mZ7W1Lg
Rungwe la kuongezewa bajeti ya ujenzi wa barabara. https://youtu.be/hXP6mZ7W1Lg
SIMU.TV: Mhe.Hamad Masauni akijibu swali la mbunge wa vunjo juu ya utekelezaji sera ya uwezeshaji katika kambi za majeshi ya magereza. https://youtu.be/Bjcg3id1OzQ
SIMU.TV: Mbunge wa Biharamuro Mhe.Rwegesira Oscar aitaka serikali kuweka suluhisho wa kudhibiti ajali za barabarani. https://youtu.be/7g3BJ811F7s
SIMU.TV: Mhe.Richard Mbogo aitaka serikali kutaja siku ambayo serikali itapeleka fedha kwaajili ya kukamilisha chaguzi za serikali ya mitaa Nsimbo. https://youtu.be/NMENQ9UYghI
SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya mfumo wa ndege ndogo za kubeba abiria kuongozwa na rubani mmoja ikilinganishwa na ndege kubwa. https://youtu.be/TEm1Vl6mH8I
SIMU.TV: Mhe.Martin Mtonda aihoji serikali juu ya hali ya kituo cha radio cha TBC tarafa za Mbinga kushindwa kurusha matangazo ya bunge. https://youtu.be/qeXbIEys1PE
SIMU.TV: Mhe.Mendard Kigola aihoji serikali juu ya ujenzi wa barabara ya Igogolo- Kibao kwa kiwango cha lami licha ya upembuzi yakinifu kufanyika. https://youtu.be/mmK0p1c9sg4
SIMU.TV: Hii ndiyo kauli ya serikali juu ya utatuzi wa changamoto ya maji safi na salama katika wilaya ya Songwe na vitongoji vyake. https://youtu.be/EP4-YY7dkeE
SIMU.TV: Je ni lini serikali itatekeleza sera ya viwanda mkoani Simiyu? Waziri Charles Mwijage anatoa majibu ya serikali . https://youtu.be/MfQ7UNbYY8I
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)