Trump: Bill Clinton alikuwa hatari zaidi

 

Mgombea anayetarajiwa kuwania kiti cha urais nchini Marekani kupitia chama cha Republican, Donald Trump, amemkejeli mgombea wa <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>kiti cha urais wa chama cha Democratic Bi Hillary Clinton, kwa kushutumu maoni yake kuhusu wanawake.

BwTrump aliandika kwenye mtandao wake wa kijamii kuwa ameshangazwa na shutuma hizo za Bi Clinton, wakati mumewe alikuwa mtu aliyewadhulumu zaidi wanawake katika historia ya marekani.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top