Bunge la Seneti nchini Marekani limeidhinisha mswada utakaoidhinisha zaidi ya dola milioni moja kusaida vita dhidi ya virusi vya <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>Zika, ambavyo vinaweza kusababisha matatizo ya uzazi.
Kiasi hicho hata hivyo ni chini ya kiwango kilichopendekezwa na Rais barrack Obama cha dola milioni moja nukta tisa kwa kampeini hiyo.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)