JUAN BARRETO GETTY
Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela, Henrique Capriles, ametoa wito kwa jeshi la <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>nchi hiyo kuchagua kati ya rais Nicolas Maduro na katiba.
Amemshutumu Bw Maduro kwa kutangaza hali ya tahadhari nchini humo wiki iliyopita.
Kabla ya bunge la nchi hiyo kupinga uamuzi huo wa rais. Maduro alisema hatua hiyo ilihitajika kwa sababu uhuru wa taifa hilo ulikuwa unakabiliwa na mashambulio ambayo hayakutarajiwa.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)