Mazungumzo kuhusu Libya yaanza Austria

Mawaziri wanaokutana Austria

Mawaziri wa mashuri ya nchi za kigeni kutoka Marekani, Mashariki ya Kati na Ulaya wanazungumzia mzozo nchini Libya kwenye mkutano unaofanyika katika <Endelea bofya kichwa cha habari hii juu>mji mkuu wa Austria Vienna.

Wana matumaini ya kuleta utulivu zaidi nchini humo na kuiunga mkono serikali mpya.

Lakini matarajio yao ni madogo kwa sababu wanasiasa nchini Libya na viongozi wa wanamgambo wamekataa kujiunga kwa pande mbili hasimu.

Akiongea kabla ya mazungumzo hayo waziri wa mashauri ya nchi za kigeni nchini Ujerumani Frank Walter Steinmeier, alisema kuwa kuna wasiwasi kuhusu ikiwa mazungumzo hayo yatasababisha Libya kutoka hali iliyo ambayo ni ngome ya islamic state kwenda kwa nchi yenye umoja.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top