Wale hujapisha picha kwenye mitandao ya kijamii bila kuvaa hijab hukamatwa
Utawala nchini Iran umewakamata watu wanane wanaofanya kazi na <Endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
mashirika ya mitindo ambayo inatajwa kukiuka kanuni za dini ya kiislamu.
mashirika ya mitindo ambayo inatajwa kukiuka kanuni za dini ya kiislamu.
Kukamatwa huku ni sehemu ya oparesheni ya miaka miwilii ambapo wanamitindo wanalengwa hususan wale ambao huchapisha picha zao kwenye mtandao wa Instagram na mitandao mingine ya kijamii zikiwaonyesha wakiwa bila hijab.
Katika mahojiano ya runinga mkuu wa mahakama ya uhalifu wa mitandao mjini Tehran, amelamu mashirika ya <Endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
mitindo kwa kuendeleza tamaduni zinazoenda kinyume na kanuni za kiislamu.
mitindo kwa kuendeleza tamaduni zinazoenda kinyume na kanuni za kiislamu.
Amesema kuwa ni wajibu wa mahakama kuwachukulia hatua wale wanaokiuka maadili hayo kwa utaratibu unaofaa.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)