Video: Rais Dk Magufuli akitembea kama mwanajeshi baada ya kukagua gwaride





Leo Desemba 9 Tanzania Bara imeazimisha miaka 55 tangu ilipopata uhuru wake kutoka kwa wakoloni mwaka 1961.


Maadhimisho hayo yamepambwa na shughuli mbalimbali za kijeshi lakini pia ngoma za asili
kutoka kwa makundi mbalimbali.


Mbali na mambo hayo yaliyoonekana kuwavutia wengi, jambo lingine lililowafurahisha ni pale Rais Dk Magufuli alipoamua kutembea kiukakamavu kama mwanajeshi mara baada ya kumaliza kukagua gwaride katika maadhimisho haya ya 55 ya uhuru.


Hapa chini ni video ra Rais Dk Magufuli akitembea kiukakamavu baada ya kukagua gwaride katika sherehe za uhuru. 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top