AUDIO: Tundu Lissu Amjibu Rais Magufuli


Jumanne ya leo August 9 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam kutoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata
kutoka serikalini.


Mwanasheria wa chama hicho Tundu Lissu amesema hakuna mtu toka Chadema anayetaka kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na Polisi kwa sababu mahabusu sio pazuri.


"Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake" Amesema Tundu Lissu








Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top