News alert:zlatan ibrahimovic kujiunga na Manchester United leo

Mshambuliaji wa Inter Milan zlatan ibrahimovic leo atatangaza kujiunga na manchester united kusaini mkataba wa  mwaka mmoja, akiongea na wanahabari mapema leo, kocha wa Manchester United Jose Mourinho asema, ni kweli ameongea na mtu wa karibu na Ibrahimovic ambaye alimuunganisha Inter Milan Muda wowote atasini Mkataba na kujiunga rasmi na Manchester United.Mourinho ameongeza kusema kuwa kiungo huyo ataleta mchango mkubwa sana katika timu ya Manchester United
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top