Kortini wakidaiwa kumdhalilisha Rais




Mwanamuziki Fulgency Mapunda maarufu Mwanacotide na mtayarishaji wa muziki, Mussa Sikabwe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kusambaza wimbo kwenye mtandao wa YouTube
wenye maudhui ya kumdhalilisha Rais John Magufuli.


Wakili wa Serikali, Dereck Mukabatunzi alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa Agosti, eneo la Manzese wilayani Kinondoni, washtakiwa walisambaza wimbo huo wenye maudhui ya ‘Udikteta uchwara.’


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top