ACT, Chadema wajitosa ugomvi wa CUF


Tundu Lisu

Wakati mnyukano wa kisiasa ukiendelea ndani ya CUF, makada wa vyama vya ACT – Wazalendo na Chadema wamenunua ugomvi huo na kurushiana lawama mtandaoni.


Ugomvi huo ni kati ya mshauri wa ACT, Profesa Kitila Mkumbo na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu ambao jana walitupiana maneno na kejeli za kisiasa kuhusu mgogoro huo unaohusisha mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na upande mwingine unaoongozwa na Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad.


Kilichomwibua Lissu ni kauli ya Profesa Mkumbo kwamba CUF ya Profesa Lipumba na nje ya Ukawa itakuwa chama imara. Lakini Lissu alimjibu Profesa Kitila kuwa anajua kuwa hoja yake hiyo ni uchwara isiyokuwa na msingi wowote katika hali halisi.

Habari zilizopo katika magazeti ya leo alhamisi september 29, 2016 bofya hapa

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top