
China News Service
Si jambo linaloweza kufikiriwa na kila mtu kulitenda wakati wa siku maalum, Lakini wapenzi wa kichina walichagua kusherehekea harusi yao huku wakielea
angani katika daraja la kioo.
Bibi harusi na bwana harusi walioana katika daraja la Shiniuzhai katika mji wa Pingjiang jimbo la Hunan katika siku ya wapendanao ya uchina inayoadhimishwa tarehe 9 Agosti, Shirika la habari la China News Service limeripoti.
Licha ya kuelea angani yapata futi 590 kutoka usawa wa ardhi , waliweza kuonyesha tabasamu zao walipokuwa wakipigwa picha za harusi yao.
Madaraja ya vioo yamekuwa maarufu sana nchini uchina hivi karibuni.
China News Service
China News Service
Hapana, hatukuwa na uhakika ni vipi waliweza kufika huko
China News Service Wiki chache tu zilizopita , maharusi wengine waliamua kuvalishana pete kwenye daraja hilo hili ingawa hawakutoka kwenye daraja
China News Service
China News Service Ajira zaidi bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)