Video:Sababu ya Rais wa Simba kukamatwa na TAKUKURU hii hapa

 
Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiriwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru).Anashikiriwa kwa tuhuma za kuchepusha pesa za klabu ya Simba ambapo bwana Evans alihamisha pesa kwa awamu tatu
.
Awamu ya kwanza alihamisha Dola za Marekani 300,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 650, kisha milioni 400 awamu ya pili, na mwisho alihamisha zaidi ya shilingi milioni 134.
Anatuhumiwa kama kuna uhalali wa kuhamisha pesa hizo kutoka kwenye akaunti ya Simba na kuziingiza akaunti Binafsi.Pia zaidi ya Dola 62,000 alihamisha kutoka akaunti yake kwenda benk moja Hong
Hivyo TAKUKURU inafanya uchunguzi wa hatua hizo, Pia TAKUKURU inawashikiria na watu wengine ambao hawakutajwa, Pesa hizo ni za uhamisho wa aliyekuwa mchezaji wa Simba Okwi ambaye aliuzwa na Klabu ya Simba
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top