BREAKING: RAIS WA SIMBA EVANS AVEVA AKAMATWA NA POLISI


Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiriwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru). Taarifa zilizothibitishwa na Polisi ni kuwa Rais wa Simba bwana Evans ameshikiriwa na wenzake ambao hawakutajwa kwa sababu zilizotajwa kuwa
ni  kulinda taratibu za  uchunguzi.Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa ni tuhuma zipi.Video:Sababu ya Rais wa Simba kukamatwa na TAKUKURU hii hapa bofya hapa Habari za uhakika zinaeleza, Aveva amekamatwa jana na amelala katika moja ya vituo vya polisi jijini Dar es Salaam. Kwa taarifa zaidi endelea kutufuatilia



Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top