SAMATTA AANGUKIA KUNDI F UROPA LEAGUE




Baada ya jana Mbwana Samatta kuisaidia Genk kufuzu hatua ya makundi ya Europa League, leo tayari makundi yamepangwa huku Genk ikiwa katika Kundi F pamoja na timu za Athletic Bilbao, Rapid
Vienna na Sassuolo .

Makundi yote yapo kama ifuatavyo…

 
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top