Obama na Trump warushiana cheche za maneno

Obama


Rais wa Marekani Barack Obama amemshambulia vikali mgombea wa chama cha Republican Donald Trump akisema kwua hana uwezo kuwa rais
.

Obama alitaka kujua ni kwa sababu gani chama cha Republiban kinaendelea kumuunga mkono bwana Trump.Trump

Alisema kuwa kinyume na wagombea wengine wa zamani wa Republican, bawana Trump hana uwezo wa kushika wadhifa mkubwa zaidi duniani.

Trump alijibu kwa kumlaumu Obama kwa uongozi mbaya.


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top