Miili Ya Askari Waliouawa Na Majambazi Yaagwa Leo Kupelekwa Mikoani Kwa Mazishi.


Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya Polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest Mangu, akizungumza wakati wa maombolezo na kuaga miili ya askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi.Ibada hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika Viwanja vya Kambi Kuu ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

Askari wakimsaidia mzazi wa mmoja wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke, ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) 
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top