Kikosi cha Yanga kilichopambana na TP Mazembe

Mchezo wa mwisho wa Kundi A michuano ya kombe la Shirikisho
Afrika kati ya TP Mazembe dhidi ya Yanga umemalizika kwa Yanga kukubali kichapo cha magoli 3-1 ikiwa ugenini na kuendeleza
rekodi yake ya kutoshinda michezo yake mitatu ya hatua ya nane bora msimu huu.

Kikosi kilichoanza:

1. Deogratius Munishi

2. Hassani Kessy

3. Mwinyi Haji

4. Andrew Vicent

5. Mbuyu Twite

6. Juma Makapu

7. Saimoni Msuva

8. Thabani Kamusoko

9. Amisi Tambwe

10. Deusi Kaseke

11. Haruna Niyonzima

Akiba: Beno Kakolanya, Oscar Joshua, Pato Ngonyani, Juma Mahadhi na Mateo Antony.

Mechi imechezwa kwenye uwanja wa Stade TP Mazembe kuanzia saa 8:30 kwa saa za DR Congo sawa na saa 9:30 kwa saa za Afrika Mashariki.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top