Video: GOLI LA SAMATTA EUROPA LEAGUE KATIKA MECHI MUHIMU HILI HAPA



Jana usiku Juni 14, nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Ally Samatta alifunga goli kwenye mchezo wa hatua za awali kuwania kucheza Europa Ligue wakati Genk ikicheza dhidi
ya Buducnost Podgorica.

Mchezo huo ulimalizika kwa Genk kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 huku Samatta akiwa amefunga bao la pili dakika ya 79 huku baada ya Neeskens Kebano kufunga bao la kwanza dakika ya 17 kwa mkwaju wa penati. Inawezekana hukuweza kuliona goli lililofungwa na Samatta, hii hapa video ya goli hilo, enjoy.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top