Tarehe ya mwisho ya ufadhili wa kusoma vyuo Vikuu kwa Hisani ya serikali ya Algeria yasogezwa mbele

tcu banner
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, inawatangazia kuwa serikali ya watu wa Algeria imesogeza mbele tarehe ya mwisho ya maombi ya ufadhili wa masomo ya vyuo vikuu kama ilivyokuwa imetangazwa awali, Kwa wanafunzi wote ambao wanataka kusoma Vyuo vya Algeria
kwa Ufadhili wa Serikali ya Algeria Mwisho wa kutuma Maombi ni July 25, 2016






 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top