
.Taarifa iliyotolewa leo jijini Dar es Salaam, ikiwa imesainiwa na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye imesema, mkutano huo utatanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halimashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC) kitakachofanyika Julai 21, 2016, na kufuatiwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) siku ya pili, Julai 22, 2016.

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)