Jerry Muro, Amekubali kutumikia adhabu aliyopewa na TFF



Afisa habari wa Yanga  Jerry Muro hivi karibuni Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania lilimpa adhabu ya kutojihusisha na mpira kwa mwaka mmoja, leo kupitia akaunti yake ya Instagram kaweka post ambayo inaashiria kama amekubaliana na maamzi ya TFF



“Kila nikifikiria figisu za soka la bonge (Bongo) aisee nachoka kabisa, let me walk away for a while though I will be missing my fans and my people wa kimataifa but I must walk away for a while,”Mwisho w kunukuu

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top