Breaking News!! Kiwanda cha Polister kinaungua moto Kihonda Morogoro


Kiwanda cha nguo ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyo fanya kazi ambapo kwa sasa kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa mwalimu julias nyerere kimeungua moto
asubuhi ya leo.

Mpaka sasa bado moto unaendelea karibu nusu ya kiwanda kimeteketea na magari ya zimamoto yameishiwa maji, wanaendelea kufuata maji mengine na jeshi la polisi limelazimika kutia maji ya katika gari ili kuongeza nguvu kuuzima moto.Taarifa zaidi tujiunge katika taarifa ya habari ya Channel ten.


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top