Jana
July 23 2016 Rais John Pombe Magufuli alikabidhiwa rasmi nafasi ya
uenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM baada ya kupigiwa kura za ndio
2398 kutoka kwa wanachama wa chama hicho ambapo
hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika
hakuna kura hata moja ya hapana wala iliyoharibika
Baadhi
ya viongozi wakiwemo wa vyama vya upinzania walishiri akiwemo
mwenyekiti wa TLP Augustino Mrema, lakini wapo pia waliotamani kufikisha
hisia zao kuhusu tukio hilo na mmojawapo ni mbunge wa Kigoma mjini
Zitto Kabwe kupitia account yake ya facebook aliandika maneno haya…
"Napenda
kumpongeza Rais John Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa
Chama chake cha CCM akiwa Mwenyekiti wa Tano chama hicho. CCM imeendelea
kudumisha utamaduni wa kukabidhiana Uongozi kila baada ya muda
"Jambo
ambalo ni la kujifunza hasa kwa vyama vya Siasa nchini na barani
Afrika. Nataraji kwamba Rais na Mwenyekiti mpya wa CCM ataona umuhimu wa
Vyama vya Siasa kuendelea kufanya Siasa bila vikwazo na kwa mujibu wa
Sheria za Nchi yetu.
"Demokrasia inaimarisha Amani kwa kupaza sauti za HAKI. Karibu kwenye changamoto za kuongoza Vyama vya Siasa ndugu Rais." –Zitto Kabwe
Napenda kumpongeza Rais John Magufuli kwa kuchaguliwa kwake kuwa Kiongozi wa Chama chake cha CCM akiwa Mwenyekiti wa Tano chama hicho. CCM imeendelea kudumisha utamaduni wa kukabidhiana Uongozi kila baada ya muda, jambo ambalo ni la kujifunza hasa kwa vyama vya Siasa nchini na barani Afrika. Nataraji kwamba Rais na Mwenyekiti mpya wa CCM ataona umuhimu wa Vyama vya Siasa kuendelea kufanya Siasa bila vikwazo na kwa mujibu wa Sheria za Nchi yetu. Demokrasia inaimarisha Amani kwa kupaza sauti za HAKI. Karibu kwenye changamoto za kuongoza Vyama vya Siasa ndugu Rais.
Zitto Kabwe
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumapili July 24, 2016 bofya hapa
Nafasi za kazi mwisho wa kutuma maombi July 26, 2016 bofya hapa
Nafasi za kazi mwisho wa kutuma maombi July 26, 2016 bofya hapa
NAFASI NYINGINE NYINGI ZA KAZI BOFYA HAPA
News alert:Tume ya vyuo Vikuu Tanzania( TCU) yatangaza vyuo Vikuu vilivyofungiwa BOFYA HAPA
News alert:Tume ya vyuo Vikuu Tanzania( TCU) yatangaza vyuo Vikuu vilivyofungiwa BOFYA HAPA
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)