Waandamana kupinga uwepo wa jeshi la Marekani Okinawa

Kambi ya jeshi,Okinawa

Maelfu ya watu wamejumuika pamoja katika kisiwa cha Okinawa nchini Japan, katika mojawepo ya maandamano makubwa katika kipindi cha miongo miwili
, kupinga uwepo wa wanajeshi wa Marekani katika eneo hilo.

Waandamanaji wana hasira kuhusiana na madai ya ubakaji na mauwaji ya kijana mmoja mwanamke wa eneo hilo, yaliyotekelezwa na mwanajeshi wa zamani wa majini wa Marekani, wanaoishi katika kisiwa hicho.

Kisa hicho kimefufua upinzani mkubwa kisiwani Okinawa dhidi ya kambi ya wanajeshi wa Marekani kisiwani humo.

Mipango ya kuondoa kambi hiyo haijafua dafu.

Magazeti ya leo jumapili june 19, 2016 bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumapili June 19, 2016 bofya hapa


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top