Uingereza yatolewa michuano ya EURO 2016

(Left to right) Wayne Rooney, Dele Alli and Eric Dier look on dejected 
Wachezaji wa Uingereza hawakuamini kilichotokea

Usiku huu ulimwengu wa soka umeshuhudia jambo la ajabu sana. Kwamba lenye kujiona taifa kubwa katika soka limefungashwa virago na ' Kitaifa kidogo' katika soka na chenye wakazi sawa na idadi
ya watu wa Leicester. Watu laki tatu tu.
Hili ni pigo kubwa la soka kwa England tangu mwaka 1950 kule Brazil walifungashwa virago kwenye fainali za kombe la Dunia wakati huo na taifa lisilokuwa na jina katika soka, Marekani.
Nini kilitokea mwaka 1950?.

Katika mchuano huo mkali Uingereza ilichezea kichapo cha 2-1 dhidi ya Iceland kwa matokeo hayo Uingereza wameyaaga mashindano hao. 
 Vibonzo:Katuni tano kali leo jumanne june 28, 2016 Bofya hapa
Uingereza yatolewa michuano ya EURO 2016 Bofya hapa



News alert: Chile yatwaa Ubingwa tena Copa America Bofya hapa
Video: MESSI AKOSA PENATI NA KUISHUHUDIA CHILE IKITWAA UBINGWA COPA AMERICA bofya hapa 


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa 

Video: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa Mikoa BOFYA HAPA






Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top