Breaking news: Italy yaifunga Spain

Katika michuano ya Euro 2016 leo hii, hatimaye mabigwa wa Euro Spain wameyaaga mashindano hayo baada ya
kufungwa 2-0 dhidi ya Italy, Goli la kwanza lilipachikwa na Chiellini dakika ya 33, ambapo goli la pili lilifungwa na Pelle dakika ya 90+1 muda wa nyongeza. Italy watakutana na Ujerumani siku ya Jumamosi, mpambano ambao unatarajiwa kuwa wa kuvutia na wa aina yake

kwa matokeo hayo spain imetupwa nje ya michuano hiyo., habari zaidi endelea kufuatia uchambuzi leo
 
Wachezaji wa Italy wakishangilia goli lao
https://d2kmm3vx031a1h.cloudfront.net/wGu2KwlyREihRMWP8Um7_spain.JPG
Wachezaji wa Spain wakiwa wamedua
 Vibonzo:Katuni tano kali leo jumanne june 28, 2016 Bofya hapa
Uingereza yatolewa michuano ya EURO 2016 Bofya hapa



News alert: Chile yatwaa Ubingwa tena Copa America Bofya hapa
Video: MESSI AKOSA PENATI NA KUISHUHUDIA CHILE IKITWAA UBINGWA COPA AMERICA bofya hapa 


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa 

Video: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa Mikoa BOFYA HAPA






Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top