

Yusuf Manji
Uchanguz wa Yanga umefanyika leo ambapo mamia ya wanachama wamejitokeza kwa wingi kuchangua viongozi wao, taarifa tulizozipata ni kuwa Manji anayetetea kiti chake anaongoza kwa kura nyingi, uchanguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es Salaam baada ya kupigwa danadana kitambo kirefu. Endelea kufuatilia uchambuzileo.blogspot.com kwa habari kamili kutoka ukumbuni