Ubelgiji yatinga robo fainali Euro 2016



Ubelgiji imeichabanga Hungary 4-0

Katika michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa, Ubelgiji imeichabanga Hungary 4-0 na kufanikiwa kuingia katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.Mapema Ujerumani waliichapa
Slovakia 3-0 huku wenyeji Ufaransa wakishinda 2-1 dhidi ya Jamuhuri ya Ireland. Michuano hiyo itaendelea tena leo ambapo mabingwa wa zamani wa dunia Italia watapambana na miamba ya soka Uhispania huku mtanange mwingine ukiwa baina ya England dhidi ya Iceland.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top