Sad news: Basi la NBS kutoka Dar Kwenda Tabora na Basi la Kisbo, Yamepata ajali Morogoro, Watu Watano Wafariki, 27 Wajeruhiwa


Basi la NBS linalotoka Dar es salaam kwenda Tabora limepata ajali mbaya maeneo ya Chakwale wilayani Gairo mkoani Morogoro.
 
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaarifu kuwa watu 5 wamefariki na 27 wamejeruhiwa katika ajali hiyo.



 
 Magazeti leo Jumatatu June 20, 2016 bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatatu June 20, 2016 Bofya hapa

Breaking News: Wabunge wa Upinzani Waziba Midomo yao Kwa Karatasi na Plasta na Kisha Kutoka Nje ya ukumbi wa bunge bofya hapa

 Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top