JWTZ Yakanusha Taarifa za Kuibwa kwa Kifaru, Lasema Taarifa hizo Hazina Ukweli Wowote


Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) limekanusha taarifa za kuibiwa kwa kifaru cha jeshi na kusema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowowote
huku likisisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.
 
Gazeti la Dira toleo la leo June 20 limepoti kuhusu kuibiwa kwa kifaru cha jeshi hilo ( taarifa hiyo imeambatanishwa hapo chini )

Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja na wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao
 
 Tazama video hii msemaji wa jeshi akikanusha 

 Magazeti leo Jumatatu June 20, 2016 bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatatu June 20, 2016 Bofya hapa

Breaking News: Wabunge wa Upinzani Waziba Midomo yao Kwa Karatasi na Plasta na Kisha Kutoka Nje ya ukumbi wa bunge bofya hapa

 Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top