MANGE KIMAMBI ATOA SABABU ZA KUISHAMBULIA MAITI YA MAREHEMU MAMA YAKE LE MUTUZ NATION SOMA HAPA LIVE!

Kwa Mara nyingine tena Mange Kimambi akishirikiana tena na mke wa zamani wa Le Mutuz Nation Neema Ngwilulupi jana walianza tena kumshambulia Marehemu Mama yake Le Mutuz ambaye alifariki Jumamosi iliyopita na kuzikwa siku Mbili tu zilizopita. Kwenye Instagram yake Mange akishirikiana na Neema Ngwilulupi wamemshambulia sana Le Mutuz Nationkwa kuonyesha picha za Shimo la Maji machafu kwamba ndilo lililotumika kumzika Mama yake huko Tunduma ikiwa ni TOFAUTI kabisa na ukweli kwamba Mama yake Le Mutuz alizikwa kwenye Makaburi ya Tunduma kwa Heshima zote na kwenye Makaburi Maalum Tunduma. Juhudi za kumpata Le Mutuz kwa simu hazikufanikiwa kwani Le Mutuz bado yupo kijijini Tunduma kwenye Msiba wa Mama yake. Ndugu mmoja wa karibu na Le Mutuz alipomuuliza Mange kwa sms kwamba kwanini alikuwa anaikosea heshima Maiti ya MamaMzee aliyefariki tayari na hana kauli, haya ndio majibu aliyoyatoa kwa ukali sana:- 

JUU ni message ya Mange akimjibu ndugu wa Le Mutuz aliyemtaka Mange kuacha kuishambulia MAITI ya Mama ambaye HAYUPO tena Duniani, na chini ni mke wa zamani wa Le Mutuz mshirika namba moja wa Mange ambaye wamekuwa wakimshambulia sana Baba wa watoto wake 2 bila sababu za msingi. Mpaka sasa Le Mutuz bado yupo Tunduma na anategemewa kurudi Dar leo kwa ndege ya Fastjet, kwa ajili ya matayarisho ya Misa Maalum ya Shukrani itakayofanyika Azania Front KKKT Church siku ya Jumamosi Tarehe 25/6 kuanzia Saa Sita Mchana.

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top