Euro2016: Poland yailaza Switzerland

Lewandowski

Poland itakutana na Croatia ama Portugal katika robo fainali ya michuano ya Euro2016 baada ya kuishinda Switzerland kwa Penalti.

Jakub Blaszczykowski aliiweka mbele Switzerland kabla ya Xherdan Shaqiri kusawazisha kupitia bao zuri.Mashabiki wa Poland

Mchezaji huyo wa Stoke alimfunga Lukas fabianski kupitia shambulio la 'Bycycle kick' kwa lugha ya Kiingereza.  Poland wakisherehekea bao lao

Mchezaji aliyesajiliwa hivi majuzi na klabu ya Arsenla Granit Xhaka alikosa penalti kwa upande wa Switzerland baada ya mechi hiyo kuisha na sare ya 1-1.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top