England yapata kocha wa muda

kocha wa muda wa England


Chama cha soka nchini England kinajiandaa kumtangaza Gareth Southgate kuwa kocha wa muda wa timu yake ya taifa katika mwanzo wa kampeni
za kuwania kufuzu kombe ka dunia.

Zoezi la kumsaka kocha mpya litaanza baada ya michezo ya awali ya kufuzu kufanyika

Mtendaji mkuu wa FA Martin Glenn,amesema kuwa kupatikana kwa kocha mpya kunaweza kuchukua miezi kadhaa,huku pia akimtaja meneja wa Arsenal,Arsene Wenger ambaye anaingia katika mwaka wa mwisho wa mkataba wake kama moja ya chaguo lao.Roy Hodgson alijiuzulu baada ya kushindwa na Iceland katika mchuano wa Euro

Roy Hodgson alijiuzulu baada ya kukifundisha kikosi cha England kwa miaka mitatu kufuatia kichapo dhidi ya timu ndogo ya Iceland mjini Nice siku ya Jumatatu.
Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top