Akaunti ya mwanaharakati wa mtandaoni Godlisten Malisa imefungwa, hivi ndivyo alivyoandika Julius Mtatiro kwenye ukurasa wake wa facebook
POKEENI SALAMU ZA UPENDO KUTOKA KWA #GODLISTEN_MALISA.
"Akaunti yangu ya FB imefungiwa kwa madai kuwa napost mambo yanayokiuka sera za Facebook, wajulishe marafiki wasiwe na wasiwasi, nipo OKAY kabisa, naomba uwajulishewawe watulivu nitarejea, Thanks in advance. Malisa GJ"
NOTE: Huyu ni yule great PARTNER in Critical Thinking. He is coming back, soon.
Mtatiro J.