Wakati huo huo, wanadiplomasia wanakutana mjini Viena hii leo kujaribu kufufua mazungumzo ya <Endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
Mazungumzo hayo yatahusisha wanachama wa jopo maalum la kimataifa kuhusu Syria linalojumuisha mataifa ya Marekani, Urusi, Iran na mataifa ya Kiarabu.
Mazungumzo mengine kati ya makundi hasimu nchini Syria, yaliyofanyika mjini Geneva, Aprili mwaka huu yalisambaratika, wakati kundi la upinzani lilipojiondoa, kutokana na kuongezeka kwa ghasia na machafuko nchini Syria.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)