Maafisa wa kupambana na ghasia nchini Ufaransa wametumia gesi ya kutoa machozi kukabiliana na <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe, kulalamikia mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kubadili sheria za utendaji kazi nchini humo.
waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe, kulalamikia mpango wa serikali ya nchi hiyo wa kubadili sheria za utendaji kazi nchini humo.
Watu sabini na watano wamekamatwa na polisi.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)