Mratibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya misaada ya kibinadamu, ameonya kuwa zaidi ya
<endelea bofya kichwa cha habari hii juu>watu milioni saba na nusu katika nchi inayokumbwa na vita ya Yemen wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula, na kuwa taifa hilo linakaribia kukumbwa na ukame.

John Ging amesema wameshuhudia kupungua kwa idadi ya wafadhili.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)