Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia ya sekta ya <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
habari nchini kutoka kwa mwandishi mkongwe mzee Charles Simpungwe (kulia) leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga.Mfuko wa huo unajihusisha na utoaji wa Tuzo kwa wapiga Picha mahiri.
habari nchini kutoka kwa mwandishi mkongwe mzee Charles Simpungwe (kulia) leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga.Mfuko wa huo unajihusisha na utoaji wa Tuzo kwa wapiga Picha mahiri.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu sekta ya habari kutoka kwa Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Van Lawick Ali Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, Charles Simpungwe (wapili kulia) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari George Msonde, mwandishi mkongwe Charles Simpungwe na Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari wakongwe mara baada ya kikao baina yao leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Ali Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, , Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga na mwisho kushoto ni Charles Simpungwe
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)