Aliyekuwa mbunge wa Kigoma kusini, David Kafulila ameshindwa kwenye kesi yake iliyokuwa ikisikilizwa mahakama kuu kanda ya <Endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
Kesi hii ilifunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Tabora na kuwa chini ya Jaji Ferdinand Wambari.
Katika kesi hii upande wa mlalamikaji (Kafulila) uliongozwa na mawakili Prof. Abdallah Safari, Tundu Lissu na Daniel Lumenyera, Ili hali upande wa mlalamikiwa (Hasna) uliongozwa na wakili Kennedy Fungamtama pamoja na Mawakili wa Serikali upande wa mwanasheria mkuu wa Serikali.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)