Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameteuliwa kuwania tuzo la Forbes za mtu mashuhuri wa mwaka.Jarida hilo la biashara limemtambua rais Magufuli kwa umuhimu wake katika kuimarisha uchumi wa taifa hilo.Wengine walioteuliwa kuwania tuzo hiyo ni pamoja na Benki ya Capitec nchini Afrika Kusini,rais wa Mauritania,Mtetezi wa haki za umma nchini Afrika Kusini na raia wa Rwanda. Rais Magufuli anaogoza kwa kura zilizopigwa kwa 82% hadi leo saa moja asubuhi jumatano 26, 2016
Unaweza kumpigia kura Hapa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)