Taifa la Tanzania ndilo lenye watoto wenye afya nzuri ya maungo duniani, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Australia.
Viwango vya afya ya maungo ya watoto milioni 1.1 walio kati ya umri wa miaka tisa hadi 17 kutoka mataifa 50 vilifanyiwa ukaguzi.
Watoto hao walifanyiwa zoezi la kukimbia umbali wa mita 20,ambalo hukagua afya yao ya maungo.
Grant Tomkinson, mmoja ya watafiti wakuu wa chuo cha Kusini mwa Australia ameiambia BBC kwamba watoto wa Tanzania waliibuka washindi kutokana na utendaji wao.
List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
PICHA 12 NDANI NA NJE ZA NDEGE MPYA BOFYA HAPA
Ndege mpya ya ATCL yatua nchini, utaratibu wa mapokezi rasmi wapangwa bofya hapa
Nafasi za kazi bofya hapa
Nafasi za kazi bofya hapa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)