DADA, WEWE NI MBWA...?




Na Mwl Joseph b Maduka

🔹Kumekuwa na mazoea ya wanawake wengi hasa wale wanaoishi mijini kupigiwa miluzi ya "psss psss hallo sister", mara "dah umependeza.. "


🔹Nilikuwa najiuliza huo uitaji wa miluzi umeanzia wapi? Na kwanini dada zetu waitwe hivyo? Ndio nikapata JIBU hili.

🔹Mavazi yanayoacha maumbile ya mwanamke wazi yasiyousitiri Mwili kama biblia inavyoagiza (1 Timotheo 2 :9) na badala yake yanaacha matiti, kiuno, mapaja, kitovu na sehemu zingine wazi ni MAVAZI YA KIKAHABA (Mithali 7 :10).

🔹Hii hujumuisha pia na vazi la Suruali kwa wanawake, maana pia haisitiri Mwili bali uuchonga na kuutangaza Mwili (shape) (Kumbukumbu 22 :5), hali inayochochea kuhamsha hisia za ngono kwa wanaume na kufanya wawe wamezini kwa kutamani (Mathayo 5:28).

🔹Sasa Mavazi hayo ya kikahaba yalibuniwa na watu wanaotawaliwa na roho za kikahaba kwa ajili ya makahaba, na mtu anapovaa Mavazi hayo anavutia roho hizo na kujikuta ukiwa unamilikiwa na roho hizo za kikahaba.

🔹Mtu anaweza kuvamiwa na roho chafu (mapepo) kupitia malashi (perfume au body spray), mafuta ya kujipaka mwilini, vito vya urembo mbalimbali mf heleni, cheni nk pia hata Mavazi.

🔹Kibiblia roho za kikahaba /uzinzi zinawakilishwa na Mbwa, hivyo mtu anapoota ndoto kuwa anafukuzwa na Mbwa inaamaanisha mtu huyo anafukuzwa na roho za kikahaba /uzinzi.

🔹Na hapa ndio asili ya ile miluzi wanayoipigiwa wakinadada. Kupitia Mavazi yao wanayovaa (ya kikahaba) wanabeba sura (muonekano) wa Mbwa Katika ulimwengu wa roho ndio maana wanaitwa kwa hiyo miluzi kama Mbwa na si kama watu wenye heshima zao.

👉MAVAZI YA KIKAHABA =KAHABA = MBWA

🔹Dada ni kweli wewe ni Mbwa? Wewe ni kahaba? Hata kama haufanyi biashara ya kuuza Mwili bado ni kahaba kutokana na mavazi unayovaa maana yanakutambulisha hivyo na ndivyo ulivyo na watu watakuita hivyo kwa miluzi kama Mbwa (kahaba)

▫EBU UFIKE WAKATI WANAWAKE MJIHESHIMU, ACHENI MAMBO YA KUIGA, ACHENI KUJIDHALILISHA, ACHENI ULIMBUKENI. KUPIGIWA MILUZI NA WANAUME SIO FAHARI NI UJINGA NA KUJISHUSHIA HESHIMA YAKO.

▫NANI ALIYESEMA UZURI WAKO MPAKA UJIONESHE MWILI WAKO? HALAFU HUO MWILI WAKO NI MATANGAZO YA BIASHARA UNAVUTIA WATEJA?

▫MAVAZI YA KIKAHABA NI KWA MAKAHABA.. KAMA WEWE NI KAHABA ENDELEA KUVAA HAYO MAVAZI YA KIKAHABA.

▫LEO WANAKUITA KAMA MBWA KWA MILUZI KESHO WATAFUNGA MNYORORO KABISA SHINGONI KAMA MBWA..!







Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top