Waandamanaji wawili wauawa Kenya

Waandamanaji wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine kadha kujeruhiwa katika mji wa Kisumu nchini Kenya.
Walioshuhudia walisema kuwa polisi walifyatua risasi kwa mkutano wa upinzani.
Maandamano hayo yamekuwa yakifanyika kila wiki nchini Kenya kupinga tume ya uchaguzi.

Mahakama ilikuwa imeharamisha maandamano hayo, na mkuu wa polisi mjini Nairobi alikuwa ameonya kuwa maafisa wangetumia nguvu dhidi ya wale ambao wangeshiriki.
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top